sw_tn/heb/11/39.md

12 lines
375 B
Markdown

# Ingawa watu hawa wote walikuwa wamehakikishwa na Mungukwa sababu ya imani yao, hawakupokea ahadi
"Mungu aliheshimu hawa kwa sababuya imani yao, lakini wenyewe hawakupokea kile ambacho Mungu alikuwa amekiahidi"
# ahadi
"kile ambacho Mungu alikuwa amewaahidi."
# ili kwamba pasipo yeye wasingeweza kukamilishwa
" ili kwamba Mungu angetukamikamilisha sisi na wao pamoja"