sw_tn/heb/11/39.md

375 B

Ingawa watu hawa wote walikuwa wamehakikishwa na Mungukwa sababu ya imani yao, hawakupokea ahadi

"Mungu aliheshimu hawa kwa sababuya imani yao, lakini wenyewe hawakupokea kile ambacho Mungu alikuwa amekiahidi"

ahadi

"kile ambacho Mungu alikuwa amewaahidi."

ili kwamba pasipo yeye wasingeweza kukamilishwa

" ili kwamba Mungu angetukamikamilisha sisi na wao pamoja"