forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.2 KiB
Markdown
36 lines
1.2 KiB
Markdown
# Wanawake walipokea wafu wao tena kwa ufufuo
|
|
|
|
"Wanawake walipokea wafu waliokuwa wamekufa wakati Mungu alipowafufua"
|
|
|
|
# Wengine waliteswa... wengine waliumizwa na dhihaka na vipigo... walipondwa mawe ... walikatwa kwa msumeno... walichinjwa
|
|
|
|
Wengine waliteseka wakati wengine wanadhihakiwa... na wakachapwa wengine walikufa kwa sababu ya kutupiwa mawe... wengine walikufa walipokatwa na misumeno... watu waliwaua
|
|
|
|
# ufufuo ulio bora
|
|
|
|
Maana zinazo dhaaniwa 1) hawa watu watapata maisha bora mbinguni au 2)Watu hawa watapata ufufuo ulio bora zaidi ya wale wasio na imani.
|
|
|
|
# wenginne walijaribiwa katika kutukana na kuchapwa... wapondwa mawe. walikatwa kwa wawili. waliuawa kwa upanga
|
|
|
|
watu waliwatukana na kuwapiga wengine... watu waliwaponda mawe.
|
|
|
|
# wengine walijaribiwa katika kutukanwa, na hata minyororo na vifungo
|
|
|
|
Mungu aliwajaribu wengine kwa kuwaruhusu adui zao kuwa tukana na kuwachapa na hata kuwaweka vifungo"
|
|
|
|
# katika mavazi ya kondoo na mbuzi
|
|
|
|
"wakiva tu ngozi za kondoo na mbuzi"
|
|
|
|
# hawakuwa na makao
|
|
|
|
"hawakuwa na kitu" au " walikuwa masikini sana"
|
|
|
|
# Ulimwengu haikuwastahili
|
|
|
|
"watu wa dunia hii haikuwastahili"
|
|
|
|
# mapango, na ndani ya mashimo ya ardhi
|
|
|
|
"na wengine waliishi katika mapango na mashimo ya ardhi"
|