# Wanawake walipokea wafu wao tena kwa ufufuo "Wanawake walipokea wafu waliokuwa wamekufa wakati Mungu alipowafufua" # Wengine waliteswa... wengine waliumizwa na dhihaka na vipigo... walipondwa mawe ... walikatwa kwa msumeno... walichinjwa Wengine waliteseka wakati wengine wanadhihakiwa... na wakachapwa wengine walikufa kwa sababu ya kutupiwa mawe... wengine walikufa walipokatwa na misumeno... watu waliwaua # ufufuo ulio bora Maana zinazo dhaaniwa 1) hawa watu watapata maisha bora mbinguni au 2)Watu hawa watapata ufufuo ulio bora zaidi ya wale wasio na imani. # wenginne walijaribiwa katika kutukana na kuchapwa... wapondwa mawe. walikatwa kwa wawili. waliuawa kwa upanga watu waliwatukana na kuwapiga wengine... watu waliwaponda mawe. # wengine walijaribiwa katika kutukanwa, na hata minyororo na vifungo Mungu aliwajaribu wengine kwa kuwaruhusu adui zao kuwa tukana na kuwachapa na hata kuwaweka vifungo" # katika mavazi ya kondoo na mbuzi "wakiva tu ngozi za kondoo na mbuzi" # hawakuwa na makao "hawakuwa na kitu" au " walikuwa masikini sana" # Ulimwengu haikuwastahili "watu wa dunia hii haikuwastahili" # mapango, na ndani ya mashimo ya ardhi "na wengine waliishi katika mapango na mashimo ya ardhi"