forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
521 B
Markdown
20 lines
521 B
Markdown
# pasipo kupokea ahadi
|
|
|
|
"pasipo kupokea ahadiambazo Mungu alikuwa ameawaahidi
|
|
|
|
# baada ya kuona na kuwasalimu kutoka mbali
|
|
|
|
"baada ya kujifunza kile Mungu atakachofanya wakati ujao"
|
|
|
|
# walikiri
|
|
|
|
walitambua" au walipokea"
|
|
|
|
# Walikuwa wageni na wapitaji katika nchi
|
|
|
|
"wageni" na "wapitaji" kimsingi yanamaanisha kitu kimoja. Hii inasisitiza kwamba nchi haikuwa nyumbani kwao kweli. Walikuwa wakisubiri kwa ajili ya nyumbani kwao kweli ambapo Mungu ametengeneza kwa ajili yao.
|
|
|
|
# Nchi ya nyumbani.
|
|
|
|
"Nchi ambayo wanatokea"
|