sw_tn/heb/11/13.md

521 B

pasipo kupokea ahadi

"pasipo kupokea ahadiambazo Mungu alikuwa ameawaahidi

baada ya kuona na kuwasalimu kutoka mbali

"baada ya kujifunza kile Mungu atakachofanya wakati ujao"

walikiri

walitambua" au walipokea"

Walikuwa wageni na wapitaji katika nchi

"wageni" na "wapitaji" kimsingi yanamaanisha kitu kimoja. Hii inasisitiza kwamba nchi haikuwa nyumbani kwao kweli. Walikuwa wakisubiri kwa ajili ya nyumbani kwao kweli ambapo Mungu ametengeneza kwa ajili yao.

Nchi ya nyumbani.

"Nchi ambayo wanatokea"