sw_tn/heb/10/15.md

464 B

Maelezo ya Jumla:

Hii ni nukuu kutoka kwa nabii Yeremia katika Agano la Kale.

pamoja nao

"amoja na watu wangu"

baada ya siku hizo

"wakati wa agano la kwanza na watu wangu ulipokwisha"

Nitaziweka sheria zangu ndani ya mioyo yao, na nitaziandika katika akili zao

Mioyo ya watu na akili vinaongelewa kana kwamba sheria ya Mungu ingeweza kuwekwa au kuandikwa juu yake. AT: "Nitawasababisha kuzielewa shria zangu na nitawasababisha kuzitii sheria zangu"