sw_tn/heb/10/15.md

16 lines
464 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Hii ni nukuu kutoka kwa nabii Yeremia katika Agano la Kale.
# pamoja nao
"amoja na watu wangu"
# baada ya siku hizo
"wakati wa agano la kwanza na watu wangu ulipokwisha"
# Nitaziweka sheria zangu ndani ya mioyo yao, na nitaziandika katika akili zao
Mioyo ya watu na akili vinaongelewa kana kwamba sheria ya Mungu ingeweza kuwekwa au kuandikwa juu yake. AT: "Nitawasababisha kuzielewa shria zangu na nitawasababisha kuzitii sheria zangu"