sw_tn/heb/09/08.md

1.4 KiB

njia ya kuingia mahali patakatifu zaidi ilikuwa haijafunuliwa bado

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu alikuwa bado hajaifunua njia ya sehemu takatifu zaidi"

mahali patakatifu zaidi

Maana zinazowezekana: 1) chumba cha ndani cha hema duniani au 2) Uwepo wa Mungu mbinguni.

hema la kwanza bado lilikuwa limesimama

Maana zinazowezekana: 1) "chumba cha nje cha hema bado kinasimama" au 2) "hema ya duniani na taratibu za dhabihu zilikuwa zikiendelea."

kielelezo

"Hii ilikuwa ni "picha" au "Hii ilikuwa ni alama"

kwa muda uliopo

"kwa sasa"

ambayo kwa sasa yanatolewa

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. "ambayo sasa makuhani wanatoa"

haviwezi kukamilisha dhamiri ya anayeabudu/ mwabudu

Mwandishi anaongelea dhamiri ya mtu kana kwamba ni kilikuwa ni chombo ambacho kilikuwa kikifanywa bora zaidi. Dhamiri ya mtu ni ni ujuzi wa kujua baya na jema. Pia ni uelewa wake kama amekosa au amefanya jema. Na kama akifahamu kwamba ametenda baya tunasema anajisikia hatia.

taratibu kwa ajili ya mwili

Mwili hapa unamaanisha mwili wa binadamu." AT: "taratibu za mwili"

taratibu za kimwili

"desturi za maisha ya kimwili"

Hizi zilikuwa desturi za kimwili ambazo zilizotolewa

"Mungu aliandaa taratibu zote hizi kwa ajili ya mwili"

ambazo zilizotolewa hadi mpangilio mpya ungeweza kuumbwa

Hii inawezakusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Kwamba Mungu alitoa hadi alipoumba mpangilio mpya"

Mpangilio mpya

"agano jipya"