sw_tn/heb/09/08.md

48 lines
1.4 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# njia ya kuingia mahali patakatifu zaidi ilikuwa haijafunuliwa bado
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu alikuwa bado hajaifunua njia ya sehemu takatifu zaidi"
# mahali patakatifu zaidi
Maana zinazowezekana: 1) chumba cha ndani cha hema duniani au 2) Uwepo wa Mungu mbinguni.
# hema la kwanza bado lilikuwa limesimama
Maana zinazowezekana: 1) "chumba cha nje cha hema bado kinasimama" au 2) "hema ya duniani na taratibu za dhabihu zilikuwa zikiendelea."
# kielelezo
"Hii ilikuwa ni "picha" au "Hii ilikuwa ni alama"
# kwa muda uliopo
"kwa sasa"
# ambayo kwa sasa yanatolewa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. "ambayo sasa makuhani wanatoa"
# haviwezi kukamilisha dhamiri ya anayeabudu/ mwabudu
Mwandishi anaongelea dhamiri ya mtu kana kwamba ni kilikuwa ni chombo ambacho kilikuwa kikifanywa bora zaidi. Dhamiri ya mtu ni ni ujuzi wa kujua baya na jema. Pia ni uelewa wake kama amekosa au amefanya jema. Na kama akifahamu kwamba ametenda baya tunasema anajisikia hatia.
# taratibu kwa ajili ya mwili
Mwili hapa unamaanisha mwili wa binadamu." AT: "taratibu za mwili"
# taratibu za kimwili
"desturi za maisha ya kimwili"
# Hizi zilikuwa desturi za kimwili ambazo zilizotolewa
"Mungu aliandaa taratibu zote hizi kwa ajili ya mwili"
# ambazo zilizotolewa hadi mpangilio mpya ungeweza kuumbwa
Hii inawezakusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Kwamba Mungu alitoa hadi alipoumba mpangilio mpya"
# Mpangilio mpya
"agano jipya"