sw_tn/heb/09/01.md

32 lines
789 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Mwandishi anawaweka wazi hawa waumini wa Kiyahudi kwamba sheria na hema ya agano la kale vilikuwa ni picha ya agano bora na jipya.
# Sasa
Hii inaonyesha sehemu mpya ya fundisho.
# agano la kwanza
Tafsiri hii kama ulivyotafsiri sura ya 8:6
# ilikuwa na taratibu
"ilikuwa na maelekezo ya ndani" au "ilikuwa na miongozo"
# kwani
mwandishi anaendeleza mazungumzo kutoka sura ya 8:6
# hema ilitengenezwa
Hema ilijengwa na kuwa tayari kwa matumizi
# kinara cha taa, meza na mkate wa wonyesho
Vyombo hivi vyote vinafuatwa neno la linaloonyesha upekee wa vyombo. Kwa sababu mwandishi anadhani kwamba wasomaji wake tayari wanafahamu kuhusu vitu vyombo hivi.
# mkate wa wonyesho
mkate wa wonyesho mbele za Mungu au mkate ambao makuhani waliuwakilisha kwa Mungu.