sw_tn/heb/05/01.md

842 B

Sentensi Unganishi:

Mwandishi anafafanua dhambi za makuhani wa Agano la Kale, na kisha anaonyesha kuwa Kristo anao ukuhani bora, na hautokani na ukuhani wa haruni, bali unaotokana na ule waMelkizedeki.

chaguliwa kutoka miongoni mwa watu

Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: "ambaye Mungu anachagua kutoka miongoni mwa watu"

amechaguliwa

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu huachangua/ huteuwa"

kusimama badala ya/ kutenda kwa niaba ya watu

"kuwawakilisha watu"

wajinga na waovu

"wale walio wajinga waovu"

waovu

watu ambao wanaishi katika njia za dhambi"

amezungukwa na udhaifu.

udhaifu wa kuhani mkuu unaongelewa kana kwamba ni nguvu zilizo mzunguka

udhaifu

hapa inamaanisha hamu ya kutenda dhambi.

pia anahitajika

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. "Mungu pia anamhitaji"