# Sentensi Unganishi: Mwandishi anafafanua dhambi za makuhani wa Agano la Kale, na kisha anaonyesha kuwa Kristo anao ukuhani bora, na hautokani na ukuhani wa haruni, bali unaotokana na ule waMelkizedeki. # chaguliwa kutoka miongoni mwa watu Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: "ambaye Mungu anachagua kutoka miongoni mwa watu" # amechaguliwa Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu huachangua/ huteuwa" # kusimama badala ya/ kutenda kwa niaba ya watu "kuwawakilisha watu" # wajinga na waovu "wale walio wajinga waovu" # waovu watu ambao wanaishi katika njia za dhambi" # amezungukwa na udhaifu. udhaifu wa kuhani mkuu unaongelewa kana kwamba ni nguvu zilizo mzunguka # udhaifu hapa inamaanisha hamu ya kutenda dhambi. # pia anahitajika Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. "Mungu pia anamhitaji"