forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
639 B
Markdown
12 lines
639 B
Markdown
# bado imewekwa kwa baadhi kuingia katika pumziko
|
|
|
|
Amani na ulinzi uliotolewa na Mungu vinaongelwa kana kwamba zilikuwa pumziko la kuwapa, na kana kwamba vilikuwa ni sehemu ambayo watu wangeweza kwenda. Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji.AT: "Mungu bado anaruhusu baadhi ya watu kuingia katika sehemu yake ya pumziko.
|
|
|
|
# kama mtasikia sauti yake
|
|
|
|
Amri za Mungu kwa Waisraeli zinaongelewa kana kwamba alikuwa amewapa kwa sauti. AT: "kama mtasikia Mungu akiongea"
|
|
|
|
# msifanye mioyo yenu kuwa migumu
|
|
|
|
kutosikia kunaongelewa kana kwamba ni moyo ulikuwa umwefanya kuwa mgumu. AT: "Msiwe wenye mioyo migumu." Tafsiri kama ulivyofanya 3:7.
|