sw_tn/heb/02/13.md

36 lines
1.2 KiB
Markdown

# Maelezo Jumla:
Nabii Isaya aliandika nukuu hizi
# Na tena
"Na nabii aliandika andiko katika sura nyingine kuhusu kileKristo achokisema kuhusu Mungu:" (URD)
# watoto... watoto wa Mungu
Hii inaongea wale wanaoamini katika Kristo kana kwamba ni walikuwa watoto wa Mungu.AT: wale walio kama watoto wangu...wale ambaao ni sawa na watoto kwa Mungu"
# waliishi maisha yao yote katika utumwa.
Fungu hili la maneno limeelezwa na hurejea utumwa kwa hofu ya kifo
# wanashiriki damu na mwili
maneno "mwili" na "damu" inamaanisha asili ya wanadamu." AT: "wote ni wanadamu"
# "Yesu pia alishiriki mambo hayo hayo"
"Yesu alikuwa mwanadamu kama wao"
# kwa kupitia kifo
kifo hapa kinaweza kuelezewa kama tendo. AT: "kwa kufa"
# "alikuwa na nguvu ya kifo
kifo" hapa kinaweza kuelezewa kama tendo.AT: " alikuwa na kuvungu kuwafanya watu kufa"
# Hii ilikuwa ili kwamba aweze kuwafanya huru wale wote ambao kupitia hofu ya kifo waliishi maisha ya utumwa
Hofu ya kifo inaongelewa kana kwamba ilikuwa utumwa. Kumuondolea mtu hofu inaongelewa kana kwamba ni kumfungua mtu kutoka utumwani.AT: "Hii ilikuwa ili kwamba awafungue watu wote. Kwa sababu tuliishi kama watumwa kwa sababu tulikuwa tukiogopa kufa"