sw_tn/heb/02/13.md

1.2 KiB

Maelezo Jumla:

Nabii Isaya aliandika nukuu hizi

Na tena

"Na nabii aliandika andiko katika sura nyingine kuhusu kileKristo achokisema kuhusu Mungu:" (URD)

watoto... watoto wa Mungu

Hii inaongea wale wanaoamini katika Kristo kana kwamba ni walikuwa watoto wa Mungu.AT: wale walio kama watoto wangu...wale ambaao ni sawa na watoto kwa Mungu"

waliishi maisha yao yote katika utumwa.

Fungu hili la maneno limeelezwa na hurejea utumwa kwa hofu ya kifo

wanashiriki damu na mwili

maneno "mwili" na "damu" inamaanisha asili ya wanadamu." AT: "wote ni wanadamu"

"Yesu pia alishiriki mambo hayo hayo"

"Yesu alikuwa mwanadamu kama wao"

kwa kupitia kifo

kifo hapa kinaweza kuelezewa kama tendo. AT: "kwa kufa"

"alikuwa na nguvu ya kifo

kifo" hapa kinaweza kuelezewa kama tendo.AT: " alikuwa na kuvungu kuwafanya watu kufa"

Hii ilikuwa ili kwamba aweze kuwafanya huru wale wote ambao kupitia hofu ya kifo waliishi maisha ya utumwa

Hofu ya kifo inaongelewa kana kwamba ilikuwa utumwa. Kumuondolea mtu hofu inaongelewa kana kwamba ni kumfungua mtu kutoka utumwani.AT: "Hii ilikuwa ili kwamba awafungue watu wote. Kwa sababu tuliishi kama watumwa kwa sababu tulikuwa tukiogopa kufa"