sw_tn/heb/02/09.md

44 lines
1.4 KiB
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Mwanadishi anawakumbusha hawa Webrania waumini kwamba Kristo alipokuaja duniania alifanyika mdogo kuliko malaika alipokuja dunia kuteseka kufa kwa ajili ya msamaha wa dhambi, na kwamba alifanyika kuhani mkuu mwenye huruma.
# tunamwona ambaye
"twafahamu kuwa kuna mwingine"
# aliyefanyika
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji.AT: "ambaye Mungu alimfanya'
# chini kuliko malaika...amevikwa utukufu na heshima
Tasifri hii kama ulitafsiri sura ya 2:7
# amevikwa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu alimvika'
# amaeonja kifo
Uzoefu wa kifo unaongelewa kana kwamba kifo ni chakula kilichoonjwa.AT: "ameonja kifo" au "amekufa"
# kwa kuwa kila mtu
"Mtu" hapa linamaanisha watu wote. wakijumuishwa wanaume na wanawake. AT: "kwa kuwa kila mtu"
# awaleta wana wengi katika utukufu
Zawadi ya utukufu hapa inaongelewa kana kwamba ni sehemu ambayo watu wangeweza kuletwa. AT: "awaokoe wana wengi"
# wana wengi
Hapa wanamaanishwa waumini wote katika Kristo, ikijumuisha wanaume na wanawake.AT: "waumini wengi"
# kiongozi wa wokovu wao
Mwanadishi anaongea wokovu kana kwamba ni sehemu ambayo Yesu anawaongoza waumini kuelekea katika sehemu hiyo. Hii inamaanisha Yesu ni mtu ambaye alitenda kwanza ili awaokoe wengine. AT:"yeye anayewaokoa watu"
# mkamilifu/ timiza
kukua kiroho na kufundishwa kikamilifu kunaongelewa kana kwamba mtu alikuwa akifanywa mtimilifu, pengine mtimilifu katika viungo vya mwili wake.