sw_tn/heb/02/09.md

1.4 KiB

Sentensi Unganishi:

Mwanadishi anawakumbusha hawa Webrania waumini kwamba Kristo alipokuaja duniania alifanyika mdogo kuliko malaika alipokuja dunia kuteseka kufa kwa ajili ya msamaha wa dhambi, na kwamba alifanyika kuhani mkuu mwenye huruma.

tunamwona ambaye

"twafahamu kuwa kuna mwingine"

aliyefanyika

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji.AT: "ambaye Mungu alimfanya'

chini kuliko malaika...amevikwa utukufu na heshima

Tasifri hii kama ulitafsiri sura ya 2:7

amevikwa

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu alimvika'

amaeonja kifo

Uzoefu wa kifo unaongelewa kana kwamba kifo ni chakula kilichoonjwa.AT: "ameonja kifo" au "amekufa"

kwa kuwa kila mtu

"Mtu" hapa linamaanisha watu wote. wakijumuishwa wanaume na wanawake. AT: "kwa kuwa kila mtu"

awaleta wana wengi katika utukufu

Zawadi ya utukufu hapa inaongelewa kana kwamba ni sehemu ambayo watu wangeweza kuletwa. AT: "awaokoe wana wengi"

wana wengi

Hapa wanamaanishwa waumini wote katika Kristo, ikijumuisha wanaume na wanawake.AT: "waumini wengi"

kiongozi wa wokovu wao

Mwanadishi anaongea wokovu kana kwamba ni sehemu ambayo Yesu anawaongoza waumini kuelekea katika sehemu hiyo. Hii inamaanisha Yesu ni mtu ambaye alitenda kwanza ili awaokoe wengine. AT:"yeye anayewaokoa watu"

mkamilifu/ timiza

kukua kiroho na kufundishwa kikamilifu kunaongelewa kana kwamba mtu alikuwa akifanywa mtimilifu, pengine mtimilifu katika viungo vya mwili wake.