forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
414 B
Markdown
12 lines
414 B
Markdown
# Taarifa kwa Ujumla:
|
|
|
|
Habakuki anafafanua hofu yake anapofikiri kuhusu Yahwe angewapa adhabu Wakaldayo.
|
|
|
|
# ndani yangu kulitetemeka! midomo yangu ilitetema ... uozo huja kwenye mifupa yangu ... chini yangu mwenyewe natetemeka.
|
|
|
|
haya yanarejerea hofu iliyosababishwa na kufikiri kuhusu matukio yajayo. Habakuki anatumia baadhi ya sehemu za mwili wake kudhihirisha kwamba kila kiungo chake kinahofu.
|
|
|
|
# oza
|
|
|
|
chakaa
|