sw_tn/hab/03/13.md

12 lines
294 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla:
Habakuki anamfafanua Yahwe.
# mteule wako
Hii inaweza kumaanisha pia "Masihi wako" lakini mrejeo ni wazi "kwa watu wako" hivyo tumia nomino ya kawada hapa, siyo kama jina halisi.
# Unapondaponda kichwa cha nyumba ya mwovu
"Unaharibu kabisa kiongozi wa watu waovu"