# Taarifa kwa Ujumla: Habakuki anamfafanua Yahwe. # mteule wako Hii inaweza kumaanisha pia "Masihi wako" lakini mrejeo ni wazi "kwa watu wako" hivyo tumia nomino ya kawada hapa, siyo kama jina halisi. # Unapondaponda kichwa cha nyumba ya mwovu "Unaharibu kabisa kiongozi wa watu waovu"