sw_tn/hab/03/11.md

16 lines
418 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla:
Habakuki anaendelea kufafanua maono yake ya Yahwe.
# katika mwanga wa mshale wako
kwasababu ya mwanga (mng'ao)wa mshale wa Yahwe ulikuwa unang'aa sana.
# Umetembea katika ardhi kwa uchungu. Katika hasira umepukutisha mataifa.
Sentensi hizi mbili zinashiriki maana sawa. Kwa pamoja zinarejerea Yahwe anahukumu mataifa kwaajili ya uovu wake.
# uchungu
hasira kwa kitu furani ambacho ni kosa