# Taarifa kwa Ujumla: Habakuki anaendelea kufafanua maono yake ya Yahwe. # katika mwanga wa mshale wako kwasababu ya mwanga (mng'ao)wa mshale wa Yahwe ulikuwa unang'aa sana. # Umetembea katika ardhi kwa uchungu. Katika hasira umepukutisha mataifa. Sentensi hizi mbili zinashiriki maana sawa. Kwa pamoja zinarejerea Yahwe anahukumu mataifa kwaajili ya uovu wake. # uchungu hasira kwa kitu furani ambacho ni kosa