sw_tn/hab/03/01.md

12 lines
257 B
Markdown

# Nimesikia taarifa zako
Hii inaweza kumaanisha 1) "nimesikia watu wanasema kuhusu kile ulichofanya" au 2) "nilisikia kile ulichosema."
# fufua kazi yako
"huisha tena kazi yako" au "fanya tena ulichofanya"
# fanya ijulikane
"fanya kazi yako ijulikane"