# Nimesikia taarifa zako Hii inaweza kumaanisha 1) "nimesikia watu wanasema kuhusu kile ulichofanya" au 2) "nilisikia kile ulichosema." # fufua kazi yako "huisha tena kazi yako" au "fanya tena ulichofanya" # fanya ijulikane "fanya kazi yako ijulikane"