forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
1.0 KiB
Markdown
20 lines
1.0 KiB
Markdown
# Taarifa kwa Ujumla
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kumjibu Habakuki. Ingwa anarejerea kwao Wakaldayo kama kwa mtu mmoja.
|
|
|
|
# Ole kwa yule ambaye anajenga jiji kwa damu, na ambaye anaimarisha mji katika uovu
|
|
|
|
Kauli hizi mbili zinasema kitu kile kile katika njia mbili tofauti. Tafsiri zinazoingiliana: "Onyo kwa Wakaldayo ambao wanajenga miji yao kwa vile walivyoiba kutoka kwa watu ambao wamewaua"
|
|
|
|
# pamoja na damu
|
|
|
|
kwa kuua watu. Tafsiri inayopokezana: "yule anayeua watu na kuiba mali zao ili kwamba ajenge mji."
|
|
|
|
# Anayeanzisha mji katika uovu
|
|
|
|
"Yule anayeanza mji kupitia tabia mbovu." Wakaldayo wanajenga miji yao wakitumia mali zilizoibwa kutoka kwa watu waliowaua.
|
|
|
|
# Hii haikutoka kwa Yahwe wa majeshi kwamba watu wafanye kazi kwa moto na mataifa yote mengine yachoke bila kitu?
|
|
|
|
Mungu amesababisha uharibifu wa kile watu walichojenga. Ilisemwa katika njia mbili tofauti ili kufanya iwe wazi zaidi. Tafsiri inayobadilishana: "Yahwe ndiye yule anayesababisha watu wanaofanya kazi ngumu ya kujenga kuharibiwa kwa moto na matokeo ni hakuna."
|