sw_tn/hab/01/15.md

24 lines
574 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla:
Habakuki anaendelea kuongea kwa Yahwe kuhusu Wakaldayo.
# ndowano ya samaki ... wavu wa samaki
vifaa vilitumika kuvua samaki
# wavu
"kifaa kilitumika kuvulia "vitu vitaambaavyo"
# Wanyama walionona ni sehemu yao, na nyama nene ni chakula chao
badilishana tafsiri: "wanyama wazuri sana na nyama nzuri sana ni fungu la chakula chao"
# fungu
sehemu ndogo ya kitu fulani kikubwa ambacho kinatumika kati ya watu wengi
# wanamaliza nyavu zao za kuvulia
wavuvi wanawamaliza samaki kwenye nyavu ili kwamba wazitupe tena na wavue samaki wengi zaidi.