# Taarifa kwa Ujumla: Habakuki anaendelea kuongea kwa Yahwe kuhusu Wakaldayo. # ndowano ya samaki ... wavu wa samaki vifaa vilitumika kuvua samaki # wavu "kifaa kilitumika kuvulia "vitu vitaambaavyo" # Wanyama walionona ni sehemu yao, na nyama nene ni chakula chao badilishana tafsiri: "wanyama wazuri sana na nyama nzuri sana ni fungu la chakula chao" # fungu sehemu ndogo ya kitu fulani kikubwa ambacho kinatumika kati ya watu wengi # wanamaliza nyavu zao za kuvulia wavuvi wanawamaliza samaki kwenye nyavu ili kwamba wazitupe tena na wavue samaki wengi zaidi.