sw_tn/gen/50/07.md

32 lines
825 B
Markdown

# Yusufu akaenda juu
Ilikuwa kawaida kutumia msemo "kwenda juu" inapozungumziwa safari ya kutoka Misri kwenda Kaanani.
# Maofisa wote ... washauri ... maofisa waandamizi
viongozi wote muhimu wa Farao walihudhuria tukio la mazishi.
# washauri
Huyu mtu alikuwa mshauri wa kifalme.
# washauri wa nyumba yake
Hapa "nyumba" ina maana ya baraza la kifalme la Farao.
# nchi ya Misri, pamoja na nyumba yote ya Yusufu na ndugu zake, na nyumba yote ya baba yake
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. "nchi ya Misri. Nyumba ya Yusufu, ndugu zake, na nyumba ya baba yake walikwenda naye"
# nyumba ya Yusufu ... nyumba ya baba yake
Hapa "nyumba" ina maana ya familia zao.
# Vibandawazi
Hapa ina maana ya wanamume wanaoendesha ndani ya vibandawazi.
# Lilikuwa kundi kubwa sana la watu
"ulikuwa mkusanyiko mkubwa sana"