forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
491 B
Markdown
16 lines
491 B
Markdown
# Kwa njia hii, nchi ikawa mali ya Farao
|
|
|
|
"Kwa hiyo nchi ikawa ya Farao"
|
|
|
|
# Ilikuwa ni nchi ya makuhani pekee ambayo Yusufu hakuinunua
|
|
|
|
"Lakini hakununua nchi ya makuhani"
|
|
|
|
# makuhani walikuwa wakipewa posho
|
|
|
|
"Posho" ni kiasi cha pesa au chakula ambacho mtu hutoa mara kwa mara mtu mwingine. Hii inaweza kuwekwa katika hali ya kutenda. "Farao aliwapa makuhani kiasi fulani cha chakula kila siku"
|
|
|
|
# Walikula katika sehemu aliyowapa Farao
|
|
|
|
"Walikula kutoka kwa kile ambacho Farao aliwapatia"
|