sw_tn/gen/46/08.md

12 lines
302 B
Markdown

# Haya ni majina
Hii ina maana ya majina ya watu ambao mwandishi anataka kuwaorodhesha.
# ya watoto wa Israeli
"ya watoto wa familia ya Israeli"
# Hanoki na Palu na Hezroni na Karmi ... Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Zohari, na Shauli ... Gershoni, Kohathi, na Merari
Haya ni majina ya wanamume.