sw_tn/gen/46/05.md

24 lines
350 B
Markdown

# akainuka kutoka
"kuwekwa kutoka kwa"
# katika mikokoteni
"Mikokoteni" ni gari dogo la abiria na mizigo lenye magurudumu mawili au manne. Wanyama huvuta mikokoteni.
# walizokuwa wamezipata
"ambazo walikusanya" au "waliopata"
# Akaja pamoja nao
"Yakobo akaja pamoja nao"
# wanawe
"wajukuu wake"
# wana wa binti zake
"wajukuu wake wa kike"