# akainuka kutoka "kuwekwa kutoka kwa" # katika mikokoteni "Mikokoteni" ni gari dogo la abiria na mizigo lenye magurudumu mawili au manne. Wanyama huvuta mikokoteni. # walizokuwa wamezipata "ambazo walikusanya" au "waliopata" # Akaja pamoja nao "Yakobo akaja pamoja nao" # wanawe "wajukuu wake" # wana wa binti zake "wajukuu wake wa kike"