sw_tn/gen/43/24.md

8 lines
263 B
Markdown

# wakaosha miguu yao
Utamaduni huu ulisaidia wasafiri waliochoka kujiburudisha baada ya kutembea umbali mrefu. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi.
# Akawalisha punda wao
"malisho" ni chakula kilichokauka ambacho huwekwa kando kwa ajili ya wanyama.