# wakaosha miguu yao Utamaduni huu ulisaidia wasafiri waliochoka kujiburudisha baada ya kutembea umbali mrefu. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. # Akawalisha punda wao "malisho" ni chakula kilichokauka ambacho huwekwa kando kwa ajili ya wanyama.