sw_tn/gen/43/16.md

16 lines
293 B
Markdown

# Benjamini akiwa nao
"Benyamini pamoja na ndugu wa Yusufu wakubwa"
# mtunzaji wa nyumba yake
"Mtunzaji" aliwajibika na kusimamia matukio ya nyumba ya Yusufu.
# Akawaleta wale watu
Hapa "akawaleta" inaweza kutafsiriwa kama "kuwachukua"
# nyumbani kwa Yusufu
"ndani ya nyumba ya Yusufu"