sw_tn/gen/43/13.md

28 lines
698 B
Markdown

# Mchukueni ndugu yenu pia
"Mchukueni pia Benyamini"
# mwende tena
"mrudi"
# Mungu Mwenyezi na awape kuona rehema mbele ya huyo mtu
Nomino inayojitegemea "rehema" inaweza kuwekwa kama kivumishi "huruma". "Mungu mwenye uwezo asababishe yule mtuawe na huruma kwenu"
# ndugu yenu mwingine
"Simoni"
# Kama nikipotelewa na watoto, nimepotelewa
"Kama nikipoteza watoto wangu, basi nipoteze watoto wangu". Hii ina maana ya kwamba Yakobo anajua inapaswa akubali kitakachotokea kwa watoto wake.
# mikono yao wakachukua
Hapa "mikono" ina maana ya mtu mzima. "Wakachukua"
# wakashuka Misri
Ilikuwa kawaida kutumia msemo "kushuka" pale ambapo inazungumziwa safari ya kutoka Kaanani kwenda Misri.