forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
1.1 KiB
Markdown
32 lines
1.1 KiB
Markdown
# Kwa nini mlinitendea mimi vibaya hivyo
|
|
|
|
"Kwa nini mlinisababishia matatizo makubwa hivi"
|
|
|
|
# Yule mtu alituuliza habari zetu
|
|
|
|
"Yule mtu aliuliza maswali mengi"
|
|
|
|
# juu yetu
|
|
|
|
Hapa "yetu" inajitegemea na ina maana ya ndugu waliokwenda Misri na kuzungumza na"yule mtu".
|
|
|
|
# Akasema, 'Je baba yenu bado yuko hai? Je mnaye ndugu mwingine?
|
|
|
|
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Inaweza kuwekwa kama nukuu isiyo moja kwa moja. "Alituuliza kwa kuzunguka kama baba yetu alikuwa bado yu hai na kama tuna ndugu mwingine".
|
|
|
|
# Tukamjibu kulingana na maswali haya
|
|
|
|
"Tulimjibu maswali aliyotuuliza"
|
|
|
|
# Tungejuaje kwamba angetwambia, 'Mleteni ndugu yenu
|
|
|
|
Wana hawa wanatumia swali kuweka msisitizo ya kwamba hawakujua ni kitu gani yule mtu angewaambia kufanya. Swali hili la balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Hatukujua ya kwamba angetuambia ... chini!"
|
|
|
|
# angetwambia, 'Mleteni ndugu yenu?"
|
|
|
|
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Inaweza kuwekwa kama nukuu isiyo moja kwa moja. "angetuambia kumfuata ndugu yetu huku chini Misri"
|
|
|
|
# Mleteni ndugu yenu chini
|
|
|
|
Ilikuwa kawaida kutumia neno la "chini" katika kuzungumzia safari ya kutoka Kanaani kwenda Misri.
|