sw_tn/gen/41/48.md

12 lines
505 B
Markdown

# Akakusanya ... kukiweka
Hapa "Akakusanya" ina maana ya watumishi wa Yusufu. "Yusufu aliwaamuru watumishi wake kukusanaya ... Wakaweka"
# Yusufu akahifadhi nafaka kama mchanga wa bahari
Hii inalinganisha nafaka na mchanga wa bahari kuweka msisitizo wa idadi yake kubwa. "Nafaka ambayo Yusufu alihifadhi ilikuwa nyingi kama mchanga wa baharini.
# Yusufu akahifadhi ... akaacha
Hapa "Yusufu" na "akahifadhi" ina maana ya watumishi wa Yusufu. "Yusufu aliwafanya watumishi wake wahifadhi ... wakaacha"