forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
972 B
Markdown
28 lines
972 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Yusufu anaendelea tafsiri yake kwa ndoto za Farao.
|
|
|
|
# ng'ombe saba wembamba na wabaya
|
|
|
|
"ng'ombe wembamba na dhaifu"
|
|
|
|
# masuke saba membamba yaliyokaushwa na upepo wa mashariki
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Masuke saba yaliyokaushwa na jua kwa sababu ya upepo wa joto kutoka mashariki"
|
|
|
|
# Hilo ni jambo nililomwambia Farao ... nililomwambia Farao
|
|
|
|
Yusufu anazungumzia kwa Farao katika utatu. Hii ni njia ya kuonyesha heshima. Inaweza kuwekwa katika lugha ya upili. "Matukio haya yatatokea kama nilivyokuambia ... imefunuliwa kwako, Farao"
|
|
|
|
# amemfunulia
|
|
|
|
"amefanya ijulikane"
|
|
|
|
# Tazama
|
|
|
|
hii inatumika kuweka msisitizo kile ambacho Yusufu anachosema baadae. "Vuta nadhari kwa kile nachosema"
|
|
|
|
# miaka saba yenye utele mwingi inakuja katika nchi yote ya Misri
|
|
|
|
Hii inazungumzia kuhusu miaka ya wingi kana kwamba muda ni kitu kinachosafiri na kufika mahali. "kutakuwa na miaka saba ambayo kutakuwa na chakula kingi katika nchi yote ya Misri"
|