sw_tn/gen/41/25.md

12 lines
405 B
Markdown

# Ndoto za Farao zinafanana
Inadokezwa ya kwamba maana zinafanana. "Ndoto zote mbili zina maana moja"
# Mungu amemwambia Farao kuhusu jambo analokwenda kulifanya
Yusufu anazungumza na Farao katika utatu. Kwa njia hii anaonyesha heshima. Inaweza kuwekwa katika upili wa mtu. "Mungu anakuonyesha kile atakachofanya hivi karibuni"
# masuke saba mema
Maneno ya "masuke" yanaeleweka. "masuke saba mazuri"