# Ndoto za Farao zinafanana Inadokezwa ya kwamba maana zinafanana. "Ndoto zote mbili zina maana moja" # Mungu amemwambia Farao kuhusu jambo analokwenda kulifanya Yusufu anazungumza na Farao katika utatu. Kwa njia hii anaonyesha heshima. Inaweza kuwekwa katika upili wa mtu. "Mungu anakuonyesha kile atakachofanya hivi karibuni" # masuke saba mema Maneno ya "masuke" yanaeleweka. "masuke saba mazuri"