forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
508 B
Markdown
16 lines
508 B
Markdown
# Mkuu wa wanyweshaji
|
|
|
|
Mtu muhimu zaidi ambaye huleta vinywaji kwa mfalme.
|
|
|
|
# Katika ndoto yangu, tazama, kulikuwa na mzabibu mbele yangu
|
|
|
|
"Katika ndoto yangu, tazama, kulikuwa na mzabibu mbele yangu!" Mnyweshaji anatumia neno "tazama" hapa kuonyesha ya kwamba alishangazwa kwa kile alichokiona katika ndoto yake na kumuamsha Yusufu avute nadhari.
|
|
|
|
# kuzaa vichala vya zabibu
|
|
|
|
"vichala vyake vikaiva kuwa zabibu"
|
|
|
|
# kuzikamua
|
|
|
|
Hii ina maana ya kwamba alikamua juisi kutoka kwao. "akakamua juisi kutoka kwao"
|