sw_tn/gen/38/03.md

20 lines
259 B
Markdown

# Akawa mjamzito
"mke wa Yuda akawa mjamzito"
# Akaitwa Eri
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Baba yake akamuita Eri"
# Eri ... Onani ... Shela
Haya ni majina ya wana wa Yuda.
# akamwita jina lake
"akamwita"
# Kezibu
Hili ni jina la mahali.