# Akawa mjamzito "mke wa Yuda akawa mjamzito" # Akaitwa Eri Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Baba yake akamuita Eri" # Eri ... Onani ... Shela Haya ni majina ya wana wa Yuda. # akamwita jina lake "akamwita" # Kezibu Hili ni jina la mahali.