forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
611 B
Markdown
12 lines
611 B
Markdown
# Rubeni akarudi kwenye shimo, na, tazama, Yusufu hakuwemo shimoni
|
|
|
|
"Rubeni alirudi kwenye shimo, na akashangazwa kuona ya kwamba Yusufu hakuwepo mle" Neno "tazama" hapa linaonyesha ya kwamba Rubeni alishangazwa kukuta ya kwamba Yusufu aliondoka.
|
|
|
|
# Akararua mavazi yake
|
|
|
|
Hili ni tendo la mawazo na uchungu mkubwa. Hii inaweza kuandikwa kwa uwazi zaidi. "Alikuwa na majonzi mpaka akararua nguo zake"
|
|
|
|
# Kijana yuko wapi? Na mimi, je niende wapi?"
|
|
|
|
Rubeni anatumia maswali kuweka msisitizo kwa tatizo ambalo Yusufu hapatikani. Hivi vinaweza kuandikwa kama kauli. "Kijana ametoweka! Siwezi kurudi nyumbani sasa!"
|