forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
667 B
Markdown
24 lines
667 B
Markdown
# Akaota ndoto nyingine
|
|
|
|
"Yusufu akapata ndoto nyingine"
|
|
|
|
# nyota kumi na moja
|
|
|
|
"nyota 11"
|
|
|
|
# baba yake akamkemea. Akamwambia
|
|
|
|
"Israeli alimkaripia, akisema"
|
|
|
|
# Je umeota ndoto ya namna gani hii? Je mama yako ... kukuinamia mpaka chini?
|
|
|
|
Israeli anatumia swali kumrekebisha Yusufu. Hii inaweza kuandikwa kama kauli. "Ndoto hii uliyoota sio ya kweli. Mama yako, kaka zako, na mimi hatutainama chini mbele yako!"
|
|
|
|
# wivu
|
|
|
|
Hii ina maana kuwa na hasira kwa sababu mtu mwingine amefanikiwa au ana umaarufu zaidi.
|
|
|
|
# akaliwema jambo hilo moyoni
|
|
|
|
Hii ina maana ya kwamba aliendelea kufikiria kuhusu maana ya ndoto ya Yusufu. "aliendelea kufikiria kuhusu maana ya ndoto ile"
|