sw_tn/gen/37/03.md

24 lines
559 B
Markdown

# Basi
Neno hili linatumika hapa kuweka alama ya badiliko kutoka kwa simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu Israeli na Yusufu.
# akampenda
Hii ina maana ya upendo wa kindugu au upendo wa kirafiki au kifamilia. Huu ni upendo wa kawaida wa binadamu kati ya marafiki na ndugu.
# wa uzee wake
Hii ina maana ya kwamba Yusufu alizaliwa wakati Israeli alikuwa mzee. "aliyezaliwa wakati Israeli alipokuwa mtu mzee"
# Akamshonea
"Israeli alimshonea Yusufu"
# vazi zuri
"joho zuri"
# hawakuongea naye vema.
"hawakuweza kuongea kwa namna ya upole kwake"