forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
541 B
Markdown
20 lines
541 B
Markdown
# majina ya wakuu wa koo
|
|
|
|
"viongozi wa koo zao"
|
|
|
|
# kwa kufuata koo zao na maeneo yao, kwa majina yao
|
|
|
|
Koo na maeneo yalitajwa kwa majina ya viongozi wa koo zao. "jina la koo zao na maeneo walipoishi yalitajwa baada yao. Haya ndio majina yao"
|
|
|
|
# Timna, Alva, Yethethi, Oholibama, Ela, Pinoni, Kenazi, Temani, Mbza, Magdieli, na Iramu
|
|
|
|
Haya ni majina ya makundi ya watu.
|
|
|
|
# makazi
|
|
|
|
"makazi ya kuishi" au "sehemu waliokuwa wakiishi"
|
|
|
|
# Huyu alikuwa Esau
|
|
|
|
orodha hii inasemekana "kuwa" Esau, ambayo ina maana ni orodha nzima ya vizazi vya Esau"
|