sw_tn/gen/36/29.md

12 lines
252 B
Markdown

# Timna
Hili ni jina la kundi la watu.
# Lotani, Shobali, Zibeoni, na Ana, Dishoni, Ezeri, Dishani
Haya ni majina ya wanamume.
# katika nchi ya Seiri
Hii ina maana ya kwamba waliishi katika nchi ya Seiri. "kwa wale walioishi katika nchi ya Seiri"